BALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja
na Watanzania wanaosoma kwenye vyuo vikuu vya Ubeligiji . Balozi Kamala
kakutana na Watanzania hao leo hii Brussels.
0 comment:
Post a Comment