Tetesi zilizopo ni kwamba katika mahafali ya 44 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam yatakayofanyika katika
Ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014, aliyekuwa mkuu wa chuo
(Chancellor) wa UDSM marehemu Balozi Fulgence Kazaura na msanii maarufu
Afrika aliyshinda tunzo nyingi zaidi kuliko wasanii wote Tanzania
Diamond Platinumz watatunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris
Causa) ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa mchango wao kwenye jamii.
Tunawapa Hongereni sana!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comment:
Hongera kaka, mm nakukubal na kumbuka MUngu cio adhuman so wanaokuchukia kaz kwao. Wewe ongeza juhudi tu, pia mtumain M ungu wsko
Hongera kaka, mm nakukubal na kumbuka MUngu cio adhuman so wanaokuchukia kaz kwao. Wewe ongeza juhudi tu, pia mtumain M ungu wsko
Vipi hiyo tuzo ilishatolewa jamani? Maana imetajwa kuwa ni tarehe 8, wengine tuko mbali na Tz, tupewe updates.
Post a Comment