Bukobawadau

UMATI 'EMBAGA' WASHIRIKI MAZISHI YA HAJI SAID KAZINJA

Ni mswiba!Siku ya jana  Oct 28 ,Mamia kwa mamia ya waamini wa Dini mbalimbali Mkoani Kagera na kutoka sehemu nyingine ndani na nje ya nchi, wameungana kwa ajili ya Mazishi ya Marehemu Haji Said Kazinja aliyefariki Juzi katika hospital ya Mkoa wa Kagera.
 Shughuli ya Mazishi imefanyika Nyumbani kwa Marehemu Haji Said Kazinja Kijijini (Nyakabanga) Wilaya ya Bukoba Vijijini.
 Pichani anaonekana Ustaadh Hamad Ramadhan ( Hamad Manyema)
 Shughuli hii ya Mazishi iliyoanza baada ya Swala ya adhuhuri na kuhudhuriwa na mamia kwa mamia ya wananchi ,Maofisa na waumini wa Kiislamu wakiwemo Mashekhe zaidi ya 20 kutoka katika Wilaya na Miji mbalimbali.
 Majira ya Saa nane na dakika 10  Mwili wa Marehemu Haji Said Kazinja ukateremshwa kwenye Jeneza na kuingizwa kwenye Mwanandani(eneo ndani ya kaburi) tayari kwa mazishi yake
 Sasa ni kuweka Udongo kaburini
Sehemu ya Watoto wa  Kiume wa Marehemu Haji Said Kazinja wakati mazishi yakiendelea...
 Kutoka kushoto ni Sheikh Yusuph Kakweke, Haji Kazinja (katikati0 ambaye ni Mtoto wa Marehemu Haji Said Kazinja wakiendelea na Shughuli ya Mazishi.
Mazishi yakiendelea  ,zoezi la  kuweka Udongo kaburini likichukua kasi
 Kijana Mahafudhi yeye na matukio

 Mzee Philbart Nyerere akiwa amefanikiwa kuweka Udongo katika Kaburi la Marehemu Haji Said Kazinja.
 Mzee Katemana akiteta na Mzee Kambuga
 Mzee Saidi (Kombora)
 Ndugu Kabaka pale na Mr. Bonge pichani katikati
 Bote bandugu wakitafakari kinacho.
 Katika hili na lile Ndugu Manzur Sokwala na Taimuli Karama pembeni ni Ndugu Hamis.
Dua maalum mara baada ya kumaliza kuzika
 Ndugu Samora wakati Mazshi yakiendelea

Ni shughuli ya Mazishi ya Marehemu Haji Said Kazinja,hakika watu ni wengi sana
 Ndugu Majid Kichwabuta
 Ndugu Jumanne Bingwa na Mlangira Gosbart
 Taswira mbalmbali Shughuli ya Mazish ikiwa inaendelea.
 Mwisho Dua Maalum Kaburini.
 Pita pita za Majirani ,Vyama rafiki na familia.
 Organizer Mzee Salum Mawingo kama kawaida anamkaribisha Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta kwa ajili ya kutoa nasaha.
 Mzee Sadru na Mzee Deka Deo Rugaibula.
 Sheikh akiendelea kutoa nasaha zake
 Haji Sadick Galiatano  akimsikiliza Sheikh kwa umakini.
Mzee Mussa pichani kulia kwake ni Haji Nurag.
Macho na Masikio wa watu  wakati Sheikh aHaruna Kichwabuta akitoa darsi zake..!
 Mamia ya Wananchi wakisikiliza nasaha za Sheikh Haruna Kichwabuta mara baada ya Mazishi.
 Uso kwa uso na Mzee wetu Mzee Kibengwe

Mwanadada  Azath
 Al Amini na Ndugu Hamimu
 Mwendelezo wa Matukio haya ni kwa hisani ya BUKOBAWADAU Mtandao mama eneo la kanda ya ziwa
Migombani   watu wamekaa kwa makundi kama inavyo onekana pichani
 Sehemu ya Wadau wakiendelea kusikiliza nasaha za Shekh.
 Umati wa watu katika hali ya Usikivu.
 Kushoto pichani anaonekana Mzee Hashidu-Kangezi, Nyuma yake ni Ustaadh Aziz Remdini akifuatiwa na Ndugu Hafidhu Karugila (Nkurukumbi)
 Sheikh anapongezwa baada ya kumaliza nasaha zake
 Muongozaji  wa  shughuli hii Uncle Salum akitoa muongozo
 Kifuatacho ni Wasifu wa Marehemu Haji Said Kazinja.
 Ikafika wasaa wa Ndugu Shafih kufanya kile alicho onelea kinafaa.
 Salaam za rambirambi kutoka Umoja wa Madreva.

 Mama Saidi na Mama Shakira pichani
 Sehemu ya kinamama pichani katikati anaonekana Mama Chichi Mrs Abubar Sued.
 Sehemu ya Wanawake waliohudhuria mswiba huu.
Sehemu ya waombolezaji upande wa wanawake.
Kila pembe Watu ni wengi sana yaani umati ni mkubwa sana.
 Mama Farida pichani katikati.
 Bi Aziza Aziza Abdulmarik mmoja kati ya Wajukuu wa Marehemu Haji Said Kazinja.
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta pichani katikati
 Anaoekana mmoja kati ya Wajukuu wa Marehemu akijaribu kuweka mambo sawasawa
Endelea kuwa nasi kwa Matukio zaidi ya rambirambi kwa wafiwa na Mchakato mzima wa huduma ya Chakula na hekaheka nyinginezo

Vipandio vikiwa eneo la maegesho  msibani hapo.
Usawa nyumbani  Kwa Mh. Nazir Kalamage jirani kabisa na ulipo msiba huu.
 Mama Ashura wa Bakoba
Magari ya aina mbalimbali yakiwa wamefurika katika msiba huo
 Kwa picha nyinginezo zaidi ya 200 tembelea  ukurasa wetu wa facebook kupitia hapa>>Bukobawadau Entertainment Media 
 BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa wafiwa wote ,Ndugu  jamaa na marafiki  
INNA LILAH WAINNAILAH RAJIUUN!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau