Bukobawadau

YALIYOJIRI SHUGHULI YA NDOA YA BW. ALLY KICHWABUTA NA BI MGENI ABDULRAHMAN

Siku zote Bw.Ally  amekuwa akiomba  uchumba,na kumtaka Bi Mgeni kutoa jibu lake. Lakini Bibie Mgeni alibaki kimya bila ya jibu lolote, Kama maandiko yasemavyo na tafsiri ya Mtume SAAW kuwa  kimya hicho kinamaanisha kukubali,kinachotakiwa ni kupeleka posa!
 Wakati familia ya Kichwabuta inaendelea na matayarisho ya Harusi itakayofanyika Siku ya Jumapili Nov 12 ,2014 Mjini Mjini Bukoba,Sehemu ya wanafamilia ikiongozwa na Sheikh Haruna Kichwabuta iliongozana  mpaka Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Shughuli ya Ndoa nyumbani kwao na Bi Harusi ,Bibie Mgeni Issa, kama mambo yanavyo onekana katika mtiririko wa picha.
Ni tukio la juma lililopita Jijini Dae es Salaam, kwa Upande wa Wanaweka kwa siku hiyo ni mwendo wa furaha, nderemo, vifijo na hoi hoi.
 Shughuli ya Ndoa ikiwa inaendelea.
Bwana Ally Kichwabuta anakamilisha haki ya Ndoa yake kwa kusaini cheti cha Ndoa.
Mambo yameenda vizuri, sasa ni pongezi kwa Bwana harusi wetu.
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika shughuli hiyo
 Mama Rifat pichani kuchoto naye aliweza kuhudhuria shughuli hii
Morali ukumbini wakati Madrasah ikiimba.
  Qasida moja matata ikapelekea shangwe na ndelemo  baada ya tukio la ndoa
 Muonekano wenye kuvutia namna  wanawake walivyojitanda
Muda ukawadia Bwana Harusi anamfunua Uso mkewe
Bwana harusi Ally Kichwabuta akimvisha  pete mkewe Bi Mgeni Issa Abdulrahman
Bwana Ally  Kichwabuta kwa mapenzi ya hali ya juu anambusu Mkewe Bibie Mgeni Idrisa...!
Mambo ya kudeka hayooo!! Mtoto wa kitanga tena..!!
 Sasa Ndoa ishafungwa  haoooooooooooo wanamelemeta
 Mama Johari Kichwabuta mama Mzazi wa Bwana Ally, katika picha ya kumbukumbu na maharusi.
 Yote hii ni katika furaha ya kumkaribisha Bibie Mgeni, pichani wapo mama zake, wakwe zake na wifi zake
Bi Sharifa kichwabuta pichani kulia akipata kumbukumbu muhimu katika shughuli ya Mdogo Ally.
Furaha ya Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta kumpata Wifi
Ndugu wa Bi Harusi wetu katika picha ya pamoja na Maharusi hawa.
Bi harusi Mgeni Issa wa Abdulrahim katika pozi mbalimbali.
 Moja kati ya picha za kumbukumbu.
 Ndugu Khakim Kichwabuta na Ndugu Khraish Kichwabuta kaka wa Bwana Harusi wetu.
 Muendelezo wa matukio kwa ajili ya kumbukumbu.
 Hakika harusi hii imependeza sana bukobowadau tunawapa hongera sana
 Muda muhafaka sasa wadau wanapata chakula.
 Ndugu Mayanja na Haji Maulid Kyeju wakipata fursa.
Kiukweli ni Bonge la harusi hakuna aliyelalamika kukosa chochote, si vinywaji wala chakula...!
Tukio linalo endelea ni  mkono wa pongezi na zawadi kwa Bi harusi
Pongezi za hapa na pale zikiendelea.
'Yaani Mwanula Ebyehetari' Very classic
 Alivyopendeza Bwana harusi wetu Hongera sana  Kaka Ally Kichwabuta  kwa kupata mwana mke mzuru tunakuombea kila jema
Hongera sana Bi Harusi mshukru Mungu amekupa Mume mwema
 Wanaondoka ukumbini Maharusi wetu
 Fufurahi  ya aina yake Mtu na mke wake na ikiwa tayari shughuli yandoa imekwisha fungwa
 Mwisho ni Watu kurejea na Bi harusi akisindikizwa kwa mume wake.
 Mpaka hapa BUKOBAWADAU hatuna la ziada,tukutane tena Jumapili Oct 12,2014 katika sehemu ya pili ya harusi hii, Bw.Ally Kichwabuta na Bi Mgeni Idrisa itakayofanyika Mjini kwetu Bukoba.

Next Post Previous Post
Bukobawadau