Bukobawadau

ALIPIZA KISASI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU

Kuchapisha picha za mtu binafsi za utupu bila yeye kujua, limekuwa jambo la kawaida nchini Uganda katika siku za hivi karibuni.
Nchini Uganda picha za mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchapishwa kwa baadhi ya magazeti nchini.
Inasemekana aliyekuwa mpenzi wake wa zamani ndiye alisambaza picha hizo kama hatua ya kushikisha adabu mwanamuziki huyo.
Mwandishi wa BBC Issaac Mumena anasimulia akiwa mjini Kampala.
Next Post Previous Post
Bukobawadau