SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

03 November 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA ZETES

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Zetes ya Ubelgiji Bwana Stephan Van Hoof (kulia). Kushoto ni Bwana Ronny Depoortere Makamu wa Rais wa kampuni hiyo. Viongozi hao  wamemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels kumweleza nia ya kampuni hiyo kuwekeza Tanzania.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU