CHECK VIDEO/PICHA YAMOTO BAND NI SHEEEDAH NI BALAA NI CHANGAMOTO PIA!!
Vijana wenye Maskani yao TMK ambao walifanya poa sana wimbo wao wa Yamoto na kupata jina la Yamoto Band, Aslay, Becka, Bella na Maromboso imeweza kufanya balaa Usiku wa Jumapili Nov,2 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Bukoba.
Photo credits:Walter Rwey-Robert
Unapo ongelea Starehe Bukoba, basi huna budi kuongelea Ukumbi huu wa Linas Night Club ambapo leo hii Nov 2,2014 tunashuhudia kile ambacho hakijawahi tokea ,juu ya wingi wa watu ukumbini, Isipo kuwa leo kupitia Bendi ya muziki inayoundwa na vijana wanne, Yamoto Band.
Watu wakiendelea kufuatilia show ya Vijana wa Yamoto Band
Vijana wakiwajibika Jukwaani
Burudani ikiendelea kutoka kwa watoto hawa wa Mkubwa Fella
Kupitia bukobawadau blog pekee unapata kile kinachostahili
Katika Ule mistari isemayo;'mapenzi hayana ubaunsa wala ukomandoo'
Watu kama unavyo jionea ilikuwa full mzuka
Yamoto ni sheeedah, ni balaaa na ni sehemu ya Changamoto
Mashabiki wakiimba kwa pamoja na wana wa Ya moto Band hakika ni usiku wa kipekee kabisaa!
Ngoma nne zinazotamba ikiwa ni ni pamoja na Nibemende/Nitajuta /Niseme nisiseme na Inooh zimeweza kuwapagawisha mbaya mashabiki wengi ndani ya Ukumbi wa Linas.
Maneno hayo mapema tulisema;'Unaanzaje kukosa kushuhudia Vijana hawa wadogo wenye kuimba kwa hisia na kupelekea wewe mtazamaji kupata hisia pia'!!
Usisite kupitia sehemu ya Video, mwishoni kabisa mwa page hii
Vipaji viko hapo si mchezo
Akifanya yake Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki
Ndugu Kamala Masudi Kalumuna akitoa fedha kama njugu kwa vijana wa Yamoto Band.
Watu mbio katika Ukodak balaa yote hii ni kutokana na Wimbo Niseme Nisiseme'!
Wakiendelea kushusha burudani ya aina yake
Watu 'yelele yelele'ni balaa juu ya balaa linaloendelea kufanywa na watoto wa Mkubwa Fella a.k.a Yamoto Band.
Sehemu ya mashabiki Ukumbini katika hali ya utulivu kabisa
Vijana wa Mkubwa Fella wakiwajibika jukwaani.
Mambo Swafiiiii 'anaonekana Mc Jerry mmoja kati waandaji wa show hii
Namna watu walivyopendeza ukumbini .
Kijana Mkhusini katika hili na lile.
Bonge la Shot, Credit kwake Mdau Walter Rwey-Robert.
Ndivyo vijana hawa wanao fanya vizuri sana katika anga la Muziki hivi sasa, Yamoto Band walivyoweza kupagawisha ndani ya Linas Club Usiku wa Nov.2,2014.
Wadau wakishow love mbele ya Camera yetu ukumbini
Vijana wakishambulia jukwaa kwa mwendo wa kasi mwanzo mpaka mwisho
Makamuzi yakiendelea.
Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Bukoba wakifurahia Bonge la Show ndani ya Linas Night Club
Salum Bonge na Mdau Moha wakiwa wamejipanga vyema mlangoni
Wapenzi ,Washabiki na wateja wetu mnaotusupport tunaomba mikono hewani
Naaamm , tupo pamoja vijana!!
Eeeeh Bukoba yetu kama kuleee ...'Watu na Vivazi vyao'!!
Huku na huko ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club watu na vivazi vya kila aina
Yamoto Band wakiimba kwa pamoja na Mashabiki, kama utakavyoweza kujionea katika Video yetu
Yote juu ya yote yunachoweza kusema ni kwamba jamaa wanatisha mbayaaaa!!
Kijana Edwin mbele ya Camera yetu
Mdau Jamal, Dj Sley na Kijana Amani Kabuga pichani
Sehemu ya Video inafuata mwishoni mwa ukurasa wetu.
CHECK SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI YALIYOJIRI NDANI YA LINAS NOV 2,2014
Video uploaded by Mc Baraka Galiatano CEO-Founder & Team Leader of Bukobawadau Entertainment Media