Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA HATI YA HESHIMA NA WANACHUO WA KIMATAIFA WA CHUO KIKUU CHA GHENT

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akipokea Hati ya Heshima kutoka kwa Rais wa Wanachuo kutoka Mataifa Mbalimbali Duniani Wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent. Balozi Kamala amehutubia Wanachuo hao leo hii Ghent Ubeligiji.
Next Post Previous Post
Bukobawadau