Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake, kayika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, juzi
Freeman Mbowe akiendelea kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akikabidhi kadi ya chama hicho kwa aliyekuwa kiongozi wa CCM katika Ktaa wa Makanyagio mjini Mpanda, Boniphace Futakamba baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Mpanda, wakati akiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi
0 comment:
Post a Comment