Bukobawadau

JE?KUOMBA MSAMAHA NI KUJISHUSHA NA KUJIONA UTAKUWA MJINGA?

Unakuta mtu fulani hasa wengi wetu sisi wanaume unakuwa kabisa umekosea au umekamatwa kabisa na ushahidi lakini utafanya ufanyalo ushahidi ushaonekana ila utafuta na kukana na kuja juu ili mwenzio ndio aonekane mjinga na kumgeuzia msala yeye kwa vijikosa vilivyopita au udhaifu wake fulani ambao kiukweli sio udhaifu ila ni vitu anaona kwako ni vibaya na anavipinga ila wewe hutaki kuachana navyo.
Msamaha ili yaishe na roho ya mwenzio isawajike na isiwe dhaifu na stress huwa mnauonaje?


Next Post Previous Post
Bukobawadau