Tunasikitika kupokea taarifa za kifo cha ndugu yetu Mtensa Leonard aliyekuwa Mkurugenzi wa linas Club Bukoba kilichotokea majira ya saa 9 Usiku wa kuamkia leo Nov 19,2014 Mjini Bukoba na mpaka sasa chanzo cha kifo hicho hakijajulikana
Bukobawadau tunatoa pole zetu za dhati kwa familia nzima ya marehemu Ndugu jamaa na marafiki ,Mwenyezi Mungu awape faraja na awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comment:
poleni sana, waitu mpola munoi, byona bya Mukama katonda
R.I.P. Mtensa
Ooh jamani nilikuwa simjui bali nilimjulia kwa blog yako hii, na kupenda mambo yake ya kibiashara.
Mungu amlaze pema peponi.
Poleni wote
Mdau toka Europe
Post a Comment