Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Kigoma, katika mkutano wa
hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Community
Cetre mjini Kigoma jana.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar),
Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kigoma katika mkutano wa
hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Community Cetre mjini Kigoma jana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment