SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 November 2014

MKUTANO WA MH.AUGUSTINE MREMA

 Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema  katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini.
Msimamizi mkuu wa (MUWSA) Kituo cha Himo Brucevictor Sangawe akitoa ufafanuzi kwa wananchi mbele ya mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustine Mrema (pichani kushoto)juu ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya ukanda wa juu katika mji wa Himo.

1 comment:

Prudence Karugendo said...

Kwa mwonekano wa mkutano huo wa hadhara kweli rafiki yangu Mhe. Lyatonga Mrema hana fundisho analolipata? Kama siasa iko namna hii basi haina tofauti na uchawi, vinginevyo hata ubunge angepaswa ajiuzulu bila kusubiri kura. Nimejaribu kuhesabu wananchi waliohudhuria mkutano huo naona hawazidi watu 17!

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU