Bukobawadau

AMSHA AMSHA MJINI BUKOBA DEC 23/24,2014!!

 Uso kwa uso na Gari aina ya kilimo kwanza lenye thamani kubwa ni Toyota Land Cruiser V8,2014. Customised High breed,full option pimped,european vesion ni mali ya Mr Ben Mulokozi aka(Binuzi)
 Ben Mulokozi Mr.appetizer aka( Binuzi)
Mlangira Focas Lutinwa akiteta na Causin yake Ndg Oswald Kahama.
Binadamu tumeumbiwa kutafuta furaha katika maisha. Tutajaribu hili na lile ilimradi tu tupate furaha tunacho weza kukusema ni kwamba furaha ya kweli ni jinsi "tunavyowaza"'- Mc Baraka quotes.
 Kupitia mtandao mama wa BUKOBAWADAU BLOG anaonekana  pichani Mr Sweetbat.
Legendary Sima Hisaya.
 Mdau pichani akiteta na Bi  Sofia Balyagati
 Nancy Nas & Dyner Van Jimmy at Transit Hotel the Walkgard.
 Pichani ni Mzee Matungwa,Adv Ishengoma, Mr Deo Kifumani na Mlangira Deo Lugaibula 
Mr Robert Matungwa (left) and friends would like to invite you all to the Walkgard Transit Hotel for the christmas buffet.
 Bi Koku na Angel wana wa Mzee Ngaiza kama walivyokutwa na Camera yetu Transit Walkgard Hotel
 Taswira mbalimbali Transit Hotel the Walkgard.
 Ma home boy karibuni sana ndani ya Manispaa yetu ya Bukoba.
Live kutoka Viwanja vya Gymkhana (Bukoba Club) Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions pichani kushoto anapenda wanawatakia Watanzania wote sikukuu njema ya christmas na heri ya mwaka mpya!
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta na Bi Farida Kassim  wakiwa wamechil  maeneo ya Bukoba Club
 Kwa furaha pichani ni Legendary Badru Kaitaba.
  Bi Shukru wa Mama Chuni.
Mc Jerry akifurahia jambo na Uncle Tom maarufu kama 'Katikilo' aka Mtani jembe
Wakishow love nasi katika kipengele maalum kijulikanacho kwa jina kama "Amsha amsha Desemba 2014"na Bukobawadau Blog.
 Mr. Cathbert Basibila na Rutta Lwabigene wakifurahia siku pamoja na Wadau wengine.
Katika Ukodak ni Bi Sofia Balyagati
Meza ya Wadau katika hili na lile
Vile watu wanavyopenda na kufurahia kupitia BUKOBAWADAU, 'Vipi wewe huko kwenu?!

Mr Samuel Lugemalila pichani kushoto na Ben Mulokozi aka Mr.appetizer .
 Mr. Samuel Lugemalila akitolea jambo ufafanuzi.
BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "Krismasi Njema" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu  ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia. 
Kwa pamoja wanawatakia Watanzania wote  sikukuu njema ya christmas na heri ya mwaka mpya!
Kushoto ni  Mr Eliud Chief Rumanyika akimsikiliza kwa umakini Mlangira Ben Kataruga(katikati).
 Kwa mbaliiiiiiii bila kujua wanafanya ni nini ...Ben & Ryahim!
 Daima wapo wote Ndugu Gulam na Diva (Serikali).
 Usikose Tamasha maalum la Krismas leo dec 25 kutoka kwa Waimbaji mahiri wa muziki wa Injili, 'Kapotive Star Singers Bukoba' litakalofanyika katika ukumbi wa Linas Night Club kuanzia majira ya saa 9 Mchana.
 Kiingilio katika tamasha hilo ni sh 5000 kwa wakubwa na 3000 kwa watoto
BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "Krismasi Njema" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu  ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia. 
Pia kwa taarifa /matukio na shughuli mbalimbali kama mikutano, sherehe, misiba,Makongamano na kadhalika waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kijana Ian Daud kibogoyo akiwa nyumbani kwao Katoke Muleba anapenda kuwatakia sikukuu njema ya christmas na heri ya mwaka mpya!
Bi Gode Bayona anawataki Heri ya X-Mass na Mwaka Mpya.
Mr.appetizer on Air
Kwa upande wa Burudani ni kwamba Mzee wa masauti, Christian Bella 'Obama' kufanya yake ndani ya Linas usiku wa tarehe 26,12,2014 hii ni Sheedah nyingine kwa wakazi wa Mji wa Bukoba na Viunga vyake
Merry Xmass & a prosperous 2015!

Next Post Previous Post
Bukobawadau