SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

25 December 2014

CHRISTIAN BELLA & MALAIKA BAND KUFANYA YAO NDANI LINAS NIGHT CLUB - DEC 26,2014!

BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella 'Obama' Mzee wa masauti, Christian Bella 'Obama' kufanya yake ndani ya Linas Night Club usiku wa tarehe 26,12,2014 hii ni Sheedah nyingine kwa wakazi wa Mji wa Bukoba na Viunga vyake Unaambiwa ata ukiwa na njaa basi Ukimsikiliza Christian Bella (njaa kwisha kabisa)kutoka na uwezo wake na Style ya kipekee kwenye muziki wa dansi!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU