Bukobawadau

HAPPY BDAY BLOGGER & PHOTOGRAPHER SIRLOOM GALIATANO

Leo ni siku ya kuzaliwa mpambanaji Blogger & photographer Sirloom Galiatano ambapo leo Dec 3,anahadhimisha miaka kadhaa hapa duniani anaseme sifa na utukufu anazirudisha kwa mwenyezi mungu sababu yeye ndiye muweza aliyemfanya awepo hadi hii leo.
Anatoa shukrani kubwa kwa wazazi wake na ndugu zake,shukrani zake za dhati kwa marafiki zake popote pale mlipo kwa support kubwa mnayompa .
Happy bday Sir.loom Inc!!Happy bday CEO - Nyumbani Studio!!
HAPPY BIRTHDAY LIL BRO YOU ARE SUCH AN AWESOME GUY!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau