Bukobawadau

HII INAHUSU 'BUKOBA CORNIVAL' FUKWENI KIROYERA DEC 20,2014

BUKOBA;tarehe 20 ni siku ya kujiachia fukweni Kiroyera
 Burudani mbalimbali zitakuwa zikiendelea pamoja na wageni wengi maalum,Jipange  kwa shangwe mpya zenye ubunifu wa kutosha!
 Pamoja na mambo mengine yote yatakayo endelea kuna wakati, utataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo,basi Bukobawadau na timu nzima ya Nyumbani Studio wale Wataalam wenye uwezo na kipaji cha kupiga picha na kuedit watakuwepo
 Nyumbani Studio inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda
 Mc Baraka & Ally

 BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau