Bukobawadau

MATOKEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014 MANISPAA BUKOBA

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 66 ndani ya Manispaa Bukoba,chama cha mapinduzi CCM wamepata mitaa 35 DHIDI ya Umoja wa UKAWA walio jinyakulia mitaa 31.
Jumla ya Wajumbe 330 walitakiwa ambapo Wapinzani wamefanya vizuri zaidi kwa kupata WAJUMBE 205 dhidi ya CCM waliopata WAJUMBE 125
  HukoWilayani Karagwe,Wilaya yenye jumla ya mitaa/vijiji 18 UKAWA wamejinyakulia Vijiji/Mitaa 12 na Chama cha Mapinduzi CCM wamepata vijiji/mitaa 6 kati ya 18.
Wakazi wa eneo la Katotorwansi-Kata kashai wakiwa tayari kuyapokea matokeo
 Pichani anaonekana Ndugu Masoud Zuberi (Kipara)  mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye Mwenyekiti wa Mtaa wa Katotorwansi-Kata kashai.
Wa pili pichani kula ni Mkurugenzi wa ulinzi na Usalama @Chademataifa Wilfred Lwakatare
Ndugu Masoud Zuberi katika furaha na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kashenye-Kashai Ndugu Nuruhudah Kabaju.
 Usikose lile Tamasha maalum la Krismas kutoka kwa Waimbaji mahiri wa muziki wa Injili, 'Kapotive Star Singers Bukoba' litakalofanyika katika ukumbi wa Linas Night Club
BUKOBAWADAU BLOG tunakutakia maandalizi mema ya sikukuu ya krismas  na heri ya mwaka mpya wa 2015
 Tupo na Nyumbani Studio, hii ni studio mpya na ya kisasa kabisa ambayo imefunguliwa Mjini Bukoba wako jirani na Ofisi za Finca mkabala na lango la Soko la Ndizi watakutendea haki na kazi yako ,Nyumbani Studio inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda.
Kwa huduma bora za kupamba katika Sherehe mbalimbali na kwa shughuli za kitaifa na kiselikali, vyama, midahalo ya kijami wasiliana na Mama matungwa Mkurugenzi wa Advents Signature Events
BUKOBAWADAU BLOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241Next Post Previous Post
Bukobawadau