Bukobawadau

OFISI YA WAZIRI MKUU KUIMARISHA MIFUMO YA UTOAJI WA TAARIFA ZA TAHADHARI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka (Katikati) akisisitiza jinsi menejimenti ya maafa inavyotekelezwa kwa Utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha utoaji wa Taarifa za Tahadhari kuhusu Tabia nchi na Mifumo ya Tahadhari nchini wakati wa mkutano wa wadau wa mradi huo leo Jijini Dar es Salaam, (kushoto) Mwakilishi wa UNDP, Tanzania wa mradi huo,  Bw. Abbas Katogo, (kulia) Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Fanuel Kalugendo,
Baadhi ya wadau wa Mradi wa Kuimarisha utoaji wa Taarifa za Tahadhari kuhusu Tabia nchi na Mifumo ya Tahadhari nchini wakifuatilia mkutano wa kujadili maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo leo Jijini Dar es Salaam, (wa kwanza ) ni Mratibu wa mradi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Bw. Alfei Daniel.
Baadhi ya washiriki wa Mradi wa Kuimarisha utoaji wa Taarifa za Tahadhari kuhusu Tabia nchi na Mifumo ya Tahadhari nchini wakifuatilia mkutano wa kujadili maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka (Katikati kwa walio kaa) akiwa na wadau wa Mradi wa Kuimarisha utoaji wa Taarifa za Tahadhari kuhusu Tabia nchi na Mifumo ya Tahadhari nchini mara baada ya kufungua  mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam.
Next Post Previous Post
Bukobawadau