Bukobawadau

PAVINY'S COLLECTION DUKA JIPYA LA NGUO BK!

 PAVINY'S COLLECTION ni Duka Jipya la Nguo lililopo mtaa wa Zamzam ,barabara ya zam zam Mjni Bukoba zamani kwa Ds..
Kama alivyokutwa  na Camera yetu maeneo haya pichani ni   aliekuwa katibu wa Simba na Mkurugenzi wa vyama na masuala ya Kisheria ya TFF,Wakili Evodius Mtawala
 Kwa msimu huu wa sIkukuu unaweza kufika na kufanya yako na kila kitu kikaeleweka katika Swala la kukupendeza wewe na Mwenzio!
 Anaitwa Bi Hidaya (Mama Pavy) anasema;'kuna kila aina ya nguo,zipo nguo za watoto kwa umri tofauti,tops,blouses,skirts,jeans, max dresses, knee shorts, na linen shorts
Tukiangaza ndani ya PAVIN'S COLLECTION ,kinacho onekana hapa  kugundua kwa msimu huu wa sikukuu unaweza kufika na kufanya yako na kila kitu kikaeleweka katika Swala zima la kukupendeza wewe na wenzio .
 Hii ni kwa wale wapenzi na wavaaji wa,skin jeans,top dress na skirts,Swala la kukupendeza wewe na Mwenzio inategemea unanunua wapi hivyo vifaa, fika Duka jipya mtaa wa zamzam Bukoba
Muonekano wa bidhaa mbalimbali.
 Kikubwa ni wewe kuwahi size yako kuna kila aina ya nguo,tops,blouses,skirts,jeans, max dresses, knee shorts, na linen shorts
 Kijana Avit  pichani anasema huu ni mwanzo na kuna kuna punzuzo maalum kwa ajili ya Sikuku za Krismas na mwaka mpya anawahimiza Wadau  kufika ndani ya PAVINY'S COLLECTION.
Next Post Previous Post
Bukobawadau