Bukobawadau

PICHA HARUSI YA BW.MARCEL MUTELANI NA BI MEKRINA MUTELANI YAFANA

Bi Harusi Mekrina Mutelani akivisha pete mme wake mpendwa BW. Marcel Mutelani.
 Bwana Marcel akimvisha pete Mke wake mpendwa Bi Mekrina.
Kwa matukio ya namna hii na mengine BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 .Bwana Marcel Mutelani akidondosha wino wa kukiri kwamba alimaanisha alichokisema mara baada Ibada ya ndoa
Bi harusi akisaini cheti cha ndoa ,sipati picha wakati kitendo hiki, raha na bashasha ya Bwana Marcel ilikuwa vipi?
 Muonekano wa Bi harusi wetu Bi Merkina Mutelani katika  pozi.
 Wanakabidhiwa vyeti vyao...'Sasa ni Bwana na Bibi Marcel Mutelani
Mashuhuda wa tukio zima.
 Taswira mbalimbali kanisani
Wakifuatilia tukio la Ndoa hii  kwa karibu
 Pongezi kutoka kwa ndugu na jamaa ,hongera sana Bw. Marcel kwa kuamua kuishi pamoja na Merkina for the rest of their life 'Waitu wahiuka'!!
 Awesome .
Matukio ya picha za kumbukumbu fukweni 
 muendelezo wa picha za kumbukumbu

 Maharusi hawa katika picha ya pozi maeneo ya mchangani,mara baada mara baada ya zoezi la picha za kumbukumbu,inafuatiwana sherehe kubwa iliyokusanya watu kibwena iliyofanyika katika Ukumbi wa Linas Night Club.
 Maharusi wetu wanavyo meremeta ebye hatari!

 Furaha ya ndoa jamani kusoma hamjui,hata  picha hamwoni? She is mine ,hayo ni maneno ya Bw. Marcel Mutelani
Maswala ya boti kama tukio maalum kwa ajili ya kumbukumbu.

 Zawadi ya keki kwa upande wa Wazazi wa Bwana Harusi

 Zawadi ya keki inatolewa kwa Dada wa  Bwana Harusi .

 Matukio ya picha yanaendelea hivi punde....
 Marafiki wa karibu wa Dada yake Bwana harusi ambaye ndeye muandaaji wa shughuli ya harusi hii wakimtunuku zawadi mbalimbali kama inavyo onekana pichani

Muda wa Maarufu kufungua rasmi Muziki
Next Post Previous Post
Bukobawadau