Bukobawadau

YALIYOJIRI SIKU YA "TIBAIGANA DAY" DEC 23,2014

Siku ya Jana tarehe 23 , 12,2014 ilikuwa siku maalum  ya 'Tibaigana Day' iliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Buganguzi-Muleba Lengo kubwa la Siku hii ni kuwakutanisha Ndugu wa familia kwa pamoja.
Siku ya 'Tibaigana Day'imeadhimisha kwa matukio mbalimbali  ikiwa ni pamoja na Ibada maalum, kuchangia miradi ya maendeleo kijijini ,Utambulisho,Watu kula ,kunywa na kufurahi kwa pamoja.
Wanaonekana seemu ya ndugu wa familia /Ukoo wa Tibaigana
Shughuli ilitanguliwa na Misa maalum kuanzia majira ya Saa 8 mchana ,Misa hiyo imefanyika Kwa Tibaigani Kijijini Muleba
 Mapadre wakiongoza Ibada hii maalum kwa ajili ya familia ya Mzee Tibaigana.
Sehemu ya Wanakaya wakati  Ibada ikiendelea
Tuwe wote mpaka mwisho kwa picha  100 za taswira yaliyojiri siku ya "Tibaigana Day Dec 23,2014"
 Sehemu ya Wanafamilia  wakati Ibada ikiendelea.
 Mzee Onesmo Niyegira na Mzee Ernest Rugalabamu (Edden)
 Picha zifuatazo ni matukio ya Ibada maalum maadhimiso ya siku iliyopewa jina la 'Tibaigana Da'
 Muendelezo wa matukio ya Ibada
KUPITIA TIBAIGANA DAY 2014:BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Sadaka kwa ajili ya Ibada
Wanaongozana wanafamiulia  wakiwa na Vipawa mikononi 
Mwl. Lambart pichani katikati 
 Tukio wakati Padre akibariki Vipawa kwa wanafamilia
 Mapadre wakiongoza Ibada fupi eneo la makaburi
Wanafamilia wakirusha maua juu ya Makaburi kwa pamoja.
Padre akinyunyizia maji ya baraka katika makaburi
 Matukio mbalimbali yaliyojiri eneo la makaburi
 Ndivyo linavyo  onekana eneo la Mabakuri
 Waumini wakitoa Support kwa kupiga makofi kufuatia kile kinachoendelea
 Mr. Avevan Tibaigana akikabidhi Mchango wa Ujenzi wa Nyumba ya Kanisa.
 Mzee Tibaigana akitoa nasaha kidogo.
Wadau pichani katika hali ya Usikuvu
Mulokozi Tibaigana pichani.
 Jesca Lambart Timbaigani
 Chalres Junior pichani
Avevan Alfred Tibaigana , mtoto mkubwa kuzaliwa na Mzee Tibaigana.
 Mwalimu E. Tibaigana, msemaji wa familia .
 Aina mbalimbali za Vinywaji
Shangazi akifuatilia jambo kwa makini
Mpama mida ya Usiku shughuli ilikuwa ikiendelea na watu wakipata Kinywaji
Marafiki wa karibu wa familia ya Tibaigana  Mr & Mrs Datus pichani
 Jamaa hawa wanafanana kama mapacha vile na leo ndiyo kwanza wanakutana uso kwa uso
 Katika hili na lile familia ya Mr & Mrs Datus.
 Sehemu ya waalikwa muda mchache kabla ya kupata msosi.
Anaitwa 'Kafombo' Sweetbart Rwabizi.
 Ndugu wa familia , kushoto ni Mzee Elias Tibaigana ambaye ndiye mkuu wa familia
Watoto mambo safi kabisa mara baada ya kutembezewa Soda.
 Mkubwa Kaka Ermest Muhazi
 Mama Haulilia katika tabasamu mbele ya Camera yetu
RCO wa polisi mkoani Kagera Gilles Mrotto
 Mama Jecka akiteta na binti yake.
 Kijana Eddy (Chipolopolo) sehemu ya waalikwa.
Kijana Moa Nyundo akijipoza na kitu Sprite.
 Ndugu Majid Rajabu akiteta na Mdau Mtatina Theo.
Matukio yanayo fuata ni huduma ya Msosi
 Watu wakiendelea kupata Chakula .
Mr Miraji na Mwalimu Kajwahula pichani wakipata chakula
 Hivi ndivyo mchakato wa Menu ulivyo weza kuendelea katika shughuli hii
Vinyaji hatuna shaka...!
 Omg Alex Tibaigana  akiweka mambo sawa.
Upande wa Menu mambo yako hivi.
 Mh. Diwani Kata ya Buganguzi Ndg  Onesmo Niyegira akipata huduma ya Chakula.
Wa kwanza pichani anaitwa 'Mjumbe' kwa jina akiwa ameongozana na waalikwa wengine katika mchakato wa kupata Mulo.
Picha zaidi za Utambulisho kwa kila mwanafamilia zitakufia baadae ya leo,
 Familia ya Mulokozi Tibaigana yenye watoto wa tatu.
Pichani kushoto ni Kijana Octvian Mulokozi akishow love na Baba yake mzazi Ndugu Mulokozi Tibaigana,watatu kwa kuzaliwa na Mzee Tiba, Yeye ni Mtanzania anayeishi Marekani
 Mzee Tibaigana akitoa utambulisho kwa waalikwa , pichani ni familia Alex Tibaigana yenye watoto wawili.
 Wajukuu wa familia/Ukoo wa Tibaigana katika picha ya pamoja
 BUKOBAWADAU BLOG:tunakutakia maandalizi mema ya sikukuu ya krismas na heri ya mwaka mpya  2015.


Next Post Previous Post
Bukobawadau