Bukobawadau

BUKOBA YETU JAN 17,2015

 Jengo jipya la abiria lililopo katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba.
Ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kiwanja cha ndege Mjini hapa ukiwa umekamilika sehemu  maegesho ya ndege na barabara ya kuruka na kutua ndege kwa kiwango cha lami.
 Ujenzi wa jingo jipya la abiria Ukiwa katika hatua za mwisho
 Mbele ya Camera yetu ni Kijana Athman Kaitaba.
 Mdau Mujuni Fred Nyamwihura mara alipotembelea katika ofisi za FirstWorld Compyuta ,wauzaji na wataalamu wa kompyuta na suluhu za kiufundi zilizopo mtaa wa Soko kuu mjini hapa.
 Mtaa kwa mtaa
Mjini Bukoba heka heka za hapa na pale zikiendelea kwa siku ya jana Jumamosi  Jan 17,2015.
Kwa huduma bora za kupamba katika Sherehe mbalimbali na kwa shughuli za kitaifa na kiselikali, vyama, midahalo ya kijami wasiliana na Mama matungwa Mkurugenzi wa Advents Signature Events
Moja ya shughuli ya mapambo  chini ya mtaalam Mama Matungwa  Mkurugenzi The Walkgard Transit Hotel -Bukoba kupitia kampuni yake ijulikanayo kwa jina 'Advents Signature Events'
NASI BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 39724
Wasiliana na Advents Signature Events kwa maswala ya Decoration
Next Post Previous Post
Bukobawadau