Bukobawadau

CRISTIANO RONALDO NDIYE MCHEZAJI BORA WA FIFA DUNIANI MWAKA 2014

Tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 tayari imetangazwa hivi punde ambapo Mshambulia wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ndiye mshindi wa tuzo hiyo inayojulikana kwa jina la FIFA Ballon d'Or 2014.
Ronaldo kawapiga chini wachezaji wenzake wawili walikuwa wamebaki kwenye fainali ambao Lionel Messi mshambuliaji wa Barcelona na mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na Manuel Neuer Mlinda mlango wa Bayern Munich ambaye pia hudakia timu yake ya taifa ya Ujerumani.
 Katika  hisia kali anaonekana Ronaldo mara baada ya kuwapiga chini Lionel Messi na Manuel Neuer
 Rais wa FIFA Sepp Blatter pichani (kulia) akimpongeza Ronaldo baada yakushinda tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2014.
 Cristiano Ronaldo baada ya kutwaa tajila mwaka 2014 ikiwa ni baada ya miezi 12
 Cristiano Ronaldo ( kushoto) katika picha ya pamoja na Mshindi wa tuzo ya FIFA kwa Wanawake  Nadine Kessler kwa mwaka 2014
 Mchezaji Cristiano Ronaldo (kulia) akiurahi na na mtoto wake Cristiano Jr mara  baada ya kushinda Tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014( FIFA Ballon d'Or 2014)
 Ronaldo anafurahia ukodak na Ma Msapu, Bi Marta  kabla ya kutangazwa kwa tuzo ya mshindi wa FIFA muda mchache uliopita usiku huu wa Jumatatu Jan 12,2014
 Ronaldo muda mchache kabla ya kushinda tuzo hii ya tatu kwake na ya pili kwa mfululizo mfululizo 2013/2014 ,tumpe hongera zake
 Muonekano wa Mchezaji Messi (kulia) na mpenzi wake Antonella Roccuzzo katika ( Red Karpet)
Katika picha ni sehemu ya wachezaji walio chaguliwa katika timu ya dunia ya FIFA
Next Post Previous Post
Bukobawadau