SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

01 January 2015

KIFO CHA OMWANA GERALDINA MBONEKO

Familia Dk. Venant Mboneko inasikitika kutangaza kifo cha Mzazi wao mlezi Omwana Geraldina Mboneko kilichotokea Dec 30 ,2014 katika hospital ya Mugana.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Jan 2,2015 kijijini Kigarama -Kanyigo saa 9 jioni
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa wafiwa!!
MUNGU ametoa na Yeye ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU