Bukobawadau

NI JUSTUCE LUGAIBURA KWA NEEMA NA REHEMA

Mlangira Justuce Rugaibura aendelea kuwa gumzo Mjini Bukoba na Vijiji vya jirani. Matendo yake na maneno yake yamegusa hisia za watu wengi waliohudhuria tukio la Uzinduzi wa Nyumba aliyo mjengea mama yake mzazi Bi Grace Alexender
Tukio hilo la Uzinduzi wa Nyumba ya Mama Grace Alexender ,Mama mzazi wa Mlangira Justuce Rugaibura limefanyika leo Alhamis  Jan 1,2015 na kuhudhuriwa na mamia ya Wageni waalikwa.
 Tukio jingine Wajukuu wa Ma Grace Alexender wameweza kumkabidhi Bibi yao funguo za Gari kwa ajili ya kutembelea ikiwa ni zawadi ya kumpongeza kwa kupata nyumba.
Mama huyooo mara baada ya kukabidhiwa Gari la kutembelea  Toyota Noah lenye nambari
 Padre wa Parokia ya Mugana akibariki nyumba hiyo.
 Hapa anatuambia tuwakumbuke wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki.
 Hivi ndivyo Mlangira Justuce Lugaibura alivyo yafanyia usafi kwa kuyajengea makaburi ya ndugu, jamaa na mababu waliolazwa katika makaburi ya familia ya Ujambani yaliyopo jirani na eneo alilo jenga Nyumba ya Mama yake Mzazi
 Ndugu Jumanne Bingwa anasema; 'Mzee I really appreciate'
 Katika picha ya pamoja  Mr Godi Katemana na Rais wa Kanda ya ziwa Ndugu Joha Lugenge
 Daaahh!! wanaonekana Wazee wa Mji wa Bukoba wakiwa wamefika kumpongeza kwa dhati kabisa
Pongezi za dhati kutoka kwa Mzee Kabaka
 Haruna Goronga, Erick Eddan katika hili na lile

 Upande wa pili mambo yako hivi
 Al Amin Abdul kwa mahaba makubwa na Mlangira
 Farid Rugusha anampongeza Mkubwa Justuce Lugaibura.
Watoto wakifurahi kiroho safi!!
 Akisalimiana na wadau mbalimbali.
 Farid Rugusha pichani kushoto, kijana Faraj na Kijana mpambanaji pichani kulia
 Anaitwa Mganyizi
 Mwalimu Mjuni na Binti Grace mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mlangira Justuce Lugaibura.
 Kandanda akifurahi
 'NIMEZUNGUKWA na marafiki wengi lakini hakuna mwenye ubora kwangu zaidi ya Hafidh Nkurukumbi ingawa wote ni marafiki wa kweli ila ubora wa huyu bwana ni tofauti kabisa....!'Hivyo ndivyo Mkubwa Justuce anavyo mweleza Ndg Abdul (Capenter)pichani kushoto wakati wanasalimiana'
Ni muda sasa waalikwa kupata mulo.
 Sehemu ya wageni kutoka bukoba Mjini
Huduma ya chakula safi ikiendeea.
 Sehemu ya wadau ukumbini wakiendelea kupata kie kinacho stahili
 Mrs Joram akipata Nkoko
 Mdau Luganuza akiteta jambo na Mzee Abdallah
Mrs Justuce Lugaibura Mamaa 'JOJO'akifanya set up ya mambo flani flani.
Bibi na Wajukuu zake katika mchakato wa Keki
 Wajukuu wakimlisha Keki Bibi yao
Matukio yanaendelea...
 Wanafamiliakatika hili na lile.
Ma Grace na mpamba wake pichani  Bi Abella  Silver
 Hivi ndivyo alivyo wasili Mr Basila  kispecial zaidi.....Labada kwa wale wasiye mfahamu vyema Mr Cathbert Basibila ni mtaalam katika maswala nyeti yenyekuhitaji na kuzingatia protocol!!
 Nadhani,kwa kila mtu mwenye akili timamu na busara  lazimakaguswa na swala hili ukizingatia na maneno yaliyosemwa na Mlangira yenye nguvu yenye yenye huruma yalyoweza kugusa hisia kwa kila mtu mwenye mama .
 Katika maandiko tunasema Mlangira ameongea 'Maneno yenye kugusa moyo ya Zaburi 34:18'
KWA MATUKIO YA PICHA ZAIDI INGIA HAPA>Bukobawadau Entertainment Media


Next Post Previous Post
Bukobawadau