Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MLANGIRA BEN KATARUGA

Good wishes are there for good ones
May God reply your hopes and brighten your wishes positively dear friend.
Bukobawadau would like to wish you a happy and prosperous life.May God help you and live longer.
Happy Birthday dear brother Ben Kataruga!!

 Happy bday mlangira ! mungu akupe maisha marefu na ndoa yenu idumu.
Leo tarehe 5 January!Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu ,mme wangu Mlangira Ben anatimiza miaka kadhaa..
Honey! Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..

Happy birthday to you my lovely hosband.

I LOVE YOU SO MUCH!!
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau