skip to main |
skip to sidebar
MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA.
Mrembo wa miss
Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye
fainali za dunia za Miss Universe
zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.
0 comment:
Post a Comment