Bukobawadau

MAAJABU YA HUU MWAKA 2015

Huu mwaka 2015 una maajabu yafuatayo.......
04/04/2015 ni Jumamosi,
06/06/2015 ni Jumamosi,
08/08/2015 ni Jumamosi,
10/10/2015 ni Jumamosi,
12/12/2015 ni Jumamosi.
Calendar ya mwaka 1987 imejirudia tena 2015.......!
Tarehe, siku, na matukio yote vinafanana....! Amini usiamini, nitakuwa ndiyo mtu wa kwanza kukujulisha kuhusu maajabu haya......! Endelea kufurahia mwaka 1987 ndani ya mwaka 2015....! Unapoangalia unaona nini....?

Next Post Previous Post
Bukobawadau