Sehemu ya wananchi pichani na Askari Polisi wakishuhudia mwili wa mtu
anayeaminika ameuawa katika eneo la Nshambya karibu na makazi ya Askari
polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mjini Bukoba.
Mpaka sasa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo (picha na Harakati)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment