Bukobawadau

TASWIRA NDANI YA CHICHI HOTEL JAN 2015

 Camera yetu ndani ya  Chichi Hotel ,hii ni hoteli ya kisasa iliyo katika viwango inatoa huduma nzuri ya vyumba vya kulala kwa mtu mmoja mmoja, wawili wawili au zaidi na sambamba na breakfast bora.
 Muonekano wa ndani ya vyumba vya hotel hii liyopo Kinondoni B ndani ya Jiji la Dar es Salaam vyenye muonekano wa kifahari.
 Vyumba safi  vyenye hewa safi na vitanda vizuri
Ndani ya ofisi ya Mkurugenzi wa Chichi Hotel.
 Ndani ya Chichi Hotel kuna Mgahawa  kwa ajili ya kutoa huduma ya vyakula mbalimbali, vinavyotolewa ama ndani au nje kwenye eneo la wazi lenye hewa safi na upepo mzuri.
 Huduma katika mgahawa huu ni pamoja na kifungua kinywa, chakula cha mchana na jioni/usiku. Vyakula hivi ni vya mapishi ya Kiafrika, Kihindi, Kichina, Kimataifa, na vinginevyo vya kimataifa ambavyo hutayarishwa na wapishi wataalamu katika jiko lenye vifaa mbalimbali vya kisasa.
Mr.Chirstopher Chichi Nyamwihula Mkurugenzi wa Chichi Hotel.
 Mdau Deo Mutalemwa kama alivyokutwa na Camera yetu ndani ya Chichi Hotel.
Kijana Ally Hamza akiwa katulia ndani ya Chichi Hotel.
 Chichi hoteli ina ukumbi wa maharusi na mikutano wenye uwezo wa kupokea hadi watu 500 kwa ajili ya mikutano,semina au warsha
Mdau Abdulrazak akiwa katulia katika eneo la ukumbi wa  Chichi hoteli
Chichi Hotel kuna huduma ya Bar inayotolewa katika eneo lililowazi.                     

Next Post Previous Post
Bukobawadau