Bukobawadau

WASANII WANAOTAKA KUSHIRIKI TAMASHA LA MUUNGANO DAY LA WASANII WA TANZANIA ,UJERUMANI WAJIANDIKISHE

Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani  April 2015
Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani mwezi April  2015 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu  +49(0)15778645623 .Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili ,Wasanii mnaombwa mtumie nafasi hii kuonyesha vipaji vyenu 
katika uwanja wa kimataifa ili kujitangaza zaidi.
Ushiriki wenu katika tamasha hili ndio dira ya ukombozi kwa wasanii wote!
Maelezo zaidi piga  simu  +49(0)15778645623
http://www.wabantu.de
Next Post Previous Post
Bukobawadau