Bukobawadau

HARUSI YA BW.JULIUS H. MUCHURUZA NA BI CHRISTINA K.MAGONGO YAFUNIKA NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA

harusi hii ilikua na umakini wa hali ya juu, kama unavyoona  katika picha jukwaa la maharusi katikati ya  ziwa victoria
Mr. and Mrs Julius Muchuruza  katika nyuso za furaha
Mr. and Mrs Julius Muchuruza
Mr. and Mrs Julius Muchuruza
Mr. and Mrs Julius Muchuruza katika pozi na wapambe wao.
Kutoka kulia ni Bi hilda mdogo wa bwana harusi akiwa katika picha ya pamoja na maharusi
Kutoka kushoto ni Bi jovitha mpambe wa bi harusi. na mwanzo kabisa kulia ni Bw. Endruw Mganga mpambe wa bwana harusi
Bi harusi akiwa na mama mkwe Bi Rose Muchuruza

Kutoka kulia ni Bw Arnold Mutafungwa na Muhanuzi Kyazi na kulia kabisa ni Mr. Albert Muchuruza

Picha ya maharusi wakiwa na wazazi wa bi harusi
Bi Lilian Muchuruza katika picha ya pamoja na maharusi
Kwa mbali kabisa ni ndugu Johanes Bahati kushoto Ndg, Mwanuzi wakiwa katika jukwaa la maharusi
Maharusi na wapambe wao katika pozi
Maeneo ya fukwe za Space Motel, jukwaa maalum la maharusi likiwa ndani ya Ziwa Victoria hakika inapendeza
Matukio katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Muonekano wa jukwa la maharusi katikati ya  ziwa victoria
Ni Bi.Agustina Muchuruzi katika pozi na Ndugu Elpidius
Kivutio kikubwa sana katika shughuli hii ni mapambo Ukumbini
Taswira ya Mapambo ya Ukumbini ni kazi nzuri ya Mkali katika tasnia  Mama Matungwa
 Muonekano wa jukwaa la maharusi , ama kwa hakika muonekano wa jukwaa hili ulipendezesha sana harusi hii
                                          Sehemu ya wageni waalikwa  wa sherehe hii
 Benjamin Band katika Action
                                                   Muonekano wa jukwaa la maharusi
                kutoka katika jukwa la maharusi muonekano wa  wahudhuriaji wa sherehe hii Mzee Pius Ngeze akitafakari jambo 
Muonekano mzuri wenye kupendeza sehemu ya waalikwa Ukumbini

 kwa mbali kabisa ni Mrs.Optat
 Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Bi.Evangelina Kasilima (alievaa mawani)
 Mr. Ramadhani Kambuga akisalimina na Mr & Mrs.Muchuruza
Mama wa Bwana harusi Bi.Greturuda kulia, Mr.yusto Muchuruza mzazi wa Bwana harusi, Bi rose Muchuruza, na Barnaba Muchuruza Baba mkubwa wa bwana harusi
                                                       Mr. and Mrs Julius Muchuruza
Taswira ukumbini
                                       Mr. and Mrs Julius Muchuruza wakisikiliza nasaha kutoka kwa wazazi
 Mr.Muchuruza akitoa nasaha
 Mama wa Bwana harusi Bi.Greturuda akimvisha mwanae Kanzu
                    Mama wa Bwana harusi Bi.Greturuda akimvisha mkwe wake ESHUKA
                                     Bi.Greturuda akikabidhi sehemu ya zawadi kwa Bwana Harusi wetu
Bwana harusi mara baada ya kukabidhiwa Mkuki kama zawadi ya kimila
                           Mama Mzazi wa  Bwana harusi Bi.Rose Muchuruza akikabidhi zawadi zake.
Bi.Rose Muchuruza Mama mzazi wa Bwana harusi akitoa zawadi ya saa yenye picha ya maharusi
Mchakato mzima wa kukabidhi zawadi kwa maharusi unaendelea
 Mrs Haji Yunusu kutoka Kampala Akitoa zawadi
Wadau mbalimbali wakiendelea kukabidhi zawadi zao kwa Mr & Mrs Julius Muchuruza
Muendelezo wamatukio ya zawadi
Askofu Mkuu Mstaafu na kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Samson Mshemba akitoa neno.
Next Post Previous Post
Bukobawadau