SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

11 February 2015

KAMPUNI YA UTALII YA HABARI TRAVEL YA UGANDA YATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P AKIWA katika picha ya pamoja na Bwana Burt Munting Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Habari Travel ya Uganda inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels. Balozi Kamala ameishukuru kampuni hiyo kwa kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU