Bukobawadau

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO

Majeneza yenye miili ya watu sita wa familia moja waliofariki kwa ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto eneo la Kipunguni ‘A’ jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Februari 7, ambao walizikwa katika makaburi ya Airwing Ukonga, Dar es Salaam leo.
 Makamu wa rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyokuwa na miili ya watu sita wa familia moja waliofariki kwa ajali ya moto
 Mofisa wa Jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ) wakitoa heshima za mwisho.
 Tutawakumbuka daima......
 Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la marehemu waliofariki katika ajali ya moto wakati wa mazishi yao.
 Wanahabari wakiwaiibika wakati waombeleji wakielekea makaburini.
 Wanafamilia wakiwa na huzuni baada ya miili kuwasili nyumbani
 Fatuma Issa ambaye ni mama wa watoto wawili waliofariki katika ajali hiyo akiweka udongo katika makaburi la watoto wake.
  Mtoto pekee aliyenusurika katika ajali hiyo, Emmanuel mpila akiweka udongo katika kaburi la baba yake, Kapteni mstaafu wa JWTZ, David Mpila.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua.
 Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.
 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline
 Mama mzazi wa Kapteni David Mpila akiweka shada la maua.
 Mama wa watoto wawili waliofariki katika ajali ya moto, Fatuma Issa akiweka shada la maua katika kaburi la mtoto wake, Celina.
CREDIT MICHUZI BLOG.
Next Post Previous Post
Bukobawadau