Bukobawadau

MAELFU WAMZIKA MA ANGELA KAFULAKAZI BUSHAIJA KIJIJINI BUGANGUZI FEB 14,2015

Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya Bi Angela  Kafulakazi Bushaija  yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Muleba Jumamosi feb 14,2015
 Picha ya Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija wakati wa uhai wake.
 Mama Chaltina mmoja wa majira  akiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya mazishi
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi  linatolewa ndani kwa ajili ya Ibada
Mwanzo wa Ibada ya misa ya mazishi
Wadau wakifuatilia Mahubiri wakati wa Misa ya mazishi
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Angela Kafulakazi Bushaija
 Mdau Patrick Kahimukilwa akishiriki Ibada ya mazishi
Mzee Tibaigani pichani  mmoja wa wajukuu wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi akiwa kafunga kitambaa chenye rangi nyekundu ckatika mkono wake wa kulia kuashiria siku ya wapendanao 
 Mama Muhazi katika picha na Omumbeija  Ma Theresa Christopher Ngaiza 
 Wadau pichani wakifuatilia ibada ya mazishi
 Ibada maalum ya mazishi ya  mpendwa wetu Ma Angela Kafulakazi ikiendelea..
Bukobawadau tunaendelea kutoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huu
Familia ya Mzee Galiatano wameguswa sana na msiba huu kama walivyoguswa familia ya marehemu
 Bi Joyce na Mama Ashirafu pichani wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi
Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu
 Wadau wakiwa katika sura za uzuni wakati wa ibada
 Ni Uzuni  na majonzi ndio iliyotawala moyoni  mwa kila  mtu kwa kumpoteza Mama etu, mlezi wetu, bibi yet mpendwa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
Uncle Salum na Kiongozi Elmest Muhazi
 Pichani ni sehemu ya wafiwa.
 Waumini wakiendelea na Ibada
 Padre akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
Sehemu ya wanakwaya wakati wa Ibada ya mazishi
 Sehemu ya waombolezaji kama wanavyo onekana pichani
  Mzee Lusseta akitoa heshima zake za mwisho
Alhaji Sadick Galiatano akitoa heshima zake za mwisho
 Waombolezaji wakiendelea kupita w mbele ya jeneza lenye Mwili wa Marehemu kutoa heshima zao za mwisho
Baada ya  kukamilika kwa zezi la kutoa heshima za mwisho linafuata neno kutoka katika familia
Mr Charles Bushaija akitoa neno kama kiongozi wa familia
Kufikia hapa BUKOBAWADAU tunakukumbusha kuwa Usisite kutembelea ukurasa wetu wa facebook kwa matukio ya picha zaidi ya 200 kwa kupitia LINK hii>>PICHA 200 MAZISHI YA MA ANGELA KAFULAKAZI
Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la makaburi.
 Wajukuu  wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
 Kama kawaida  anaonekana Uncle Salum  (Mawingo) aka Organizer akiwajibika

Taswira eneo la Kaburi
Wakipeana angalizo kwa pamoja namna ya  kubeba Jeneza
 Jeneza likiwa linaingizwa kaburini tayari kwa mazishi
 Padre akitoa mahubili wakati wa kuzika
 “Miili yetu ni mavumbi na itarudi mavumbini” ndivyo Padre anavyo anza kuweka udongo kaburini
 Baadhi ya watu waliohudhuria mazishi hayo
 Mapadri wote wakitangulia kuweka udongo kwenye kaburi
 Bwana Charles Bushaija mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaiji akiweka udongo
Dr.Rwakyendela (katikati) na wadau mbalimbali wakiendelea kushiriki shughuli ya mazishi
Dada Hilda Bushaija akiweka Udongo  kwenye kaburi la Marehemu Mama yake
 Umati wa wananchi wa Kiijiji cha Buganguzi na maeneo mengine ya jirani wakiwa wamejitokeza kwa wingi kuuaga na kuuzika mwili wa Mpendwa wao Bi Angela Kafulakazi Bushaija
Kaka Elmest Muhazi na sehemu ya wadau wakiweka Udongo katika kaburi la Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija.
Wanafamilia wakiendelea kuweka Udongo kaburini
 Al haji Sadick Idrisa pichani kulia akiweka Udongo kwenye Kaburi la Mama yake mkubwa Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija.
Anaonekana Mdau Mrishid Idrisa
 Kwa namna ya pekee jinsi ambavyo watu wengi wameguswa na msiba huu na kuonyesha upendo kwa marehemu Ma Angela Kafulakazi

 Kaka Ermest Muhazi na wadau wengine wakiwa udongo katika kaburi
Shughuli ya kuweka Udongo ikiwa bado inaendelea
 Shughuli ya kuweka mashada ya Maua katika kaburi la mpendwa wetu Marehemu Ma Angela Kafulakazi inaongozwa na Baba Paroko  kwa niaba ya Mapadre wote walioshiriki kuendesha Ibada ya  mazishi haya kisha zoezi likaendele kwa Watoto wa marehemu, wanafamilia ndugu jamaa na marafiki 
Ma Bushuku pichani katikati ambae ndiye Mama Mzazi wa Marehemu  Ma Angala Kafulakazi.
 Wakati Mama Mzazi wa Marehemu akisaidiwa kuweka shada la maua kwenye kaburi.
Mtoto Mkubwa  wa Marehemu Ndugu Charles  akiwa na Mke wake katika kuweka shada la maua
Mr & Mrs Charles wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa.
Anafuata Mr & Mrs John Peter Bushaija.
 Mr & Mrs Tito wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu mama yao mpendwa
Hakika ni majonzi na simanzi ya hali ya juu
 Mr & Mrs Kato wakiweka shada la Maua
 Mr Kato akiwa na Mke wake Bi Hilda ambaye ni mtoto wa Kike wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi wakiweka shada la maua.
Mr & Mrs Vicent Bushaija.
 Tukio la  mashada ya maua likiwa linaendelea, Sasa ni zamu ya ndugu Venance ( Rajipa)
 Ndugu wa Familia pichani ni Mr & Mrs Jamuhuri,Mr Dauda na Kaka yake  Hussein kutoka Jijijini Dar es Salaam  wakiwa tayari kuweka mashada yao ya maua
 Kushoto Mr & Mrs Jamhuri na kuliani  ndugu Hussein na Dauda
 Wakati huo watu bado wanaiendelea kufika msibani hapo.
Hakika ni msiba mkubwa
 Dada Asia pichani akiweka shada lake la maua.
Naye Mzee Alhaji Abubakar  Galiatano
 Dr .Rwakyendela na Mke wake mara baada ya kuweka shada la maua
 Dada Mary Rwabizi akiweka shada la maua
 Sister Gode kutoka Kagondo.
Mr.Boniface Mbimanya akiweka shada la maua kwa niaba ya wanaukoo wa Marehemu 'Abakombe'
 Pichani kushoto anaonekana Bi Evelyn
 Sehemu ya Wadau yupo Ndg (Mzungu) mwenye black na Mh. Onesmo Niyegira (katikati)
 Watu wengi wakiwa katika uhuzi mkubwa
 Ndugu Majid ( Sagada) mtu wa karibu sana na familia akiwa katika sintofahamu kufuatia msiba huu.
 Wajukuu wa Marehemu kwa pamoja wakiongozwa na Angela pichani katikati.
 Sehemu ya wajukuu wakiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la Bibi yao mpendwa
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiwa unaendelea kuchukua kasi
 Mr & Mrs Fabian Kalikawe wakiweka shada la maua
 Wawakilishi kutoka TIJA Dar es Salaam
 Mwakilishi kutoka Radio Maria akiweka shada la Maua
 Mr Audax Rusenene akiweka shada la maua
 Marafiki wa marehemu pichani kulia yupo Ma Katalena
Kutoka Jijijni Dar es Salaam anaonekana Mr Alex Mtingazi akiwa amesafiri umbali wote kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Mama huyu
 Wanaonekana Vijana wa kiroho na Uncle Badru Seleman Rajabu pichani kushoto
 Wanafamilia pichani kutoka kushoto ni Mdau Sadath
 Mzee Nurag na sehemu ya waombolezaji pichani
Anaitwa Angela Charles ni  mjukuu mkubwa wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija katika picha ya kumbukumbu mbele ya Kaburi la Bibi yake 
 Katika picha  wanaonekana Bi Ajila na Mama Khalid (Bi Tausi)
 BUKOBAWADAU BOG TUNATUMIA FURSA HII KUKUJUZA  kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241.
 Mbele ya Camera yetu ni wadau wa Kijijini Buganguzi
 Kwa mbali  pichani yupo Uncle Khalid na Uncle Badru
 Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi Mzee Alfred Tibaigana akitoa neno
 Katika hali ya usikivu pichani ni Dada Methidia na Uncle Tito ambao ni watoto wa Marehemu
 Kutoka Mjini Geita  pichani ni Mwl. Salima Rajabu
Ndg Roderick Lutembeka ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee (Chadema),na tayari  katangaza nia kugombea ubunge 2015 jimbo la Muleba kusini


Mdau Kafombo Sweetbart Rwabizi
Mtu na Mama yake pichani ni Majid Rajabu na Ma Zuliath Rajabu
 Kwa matukio ya picha  zaidi ya 200  katika Ukurasa wetu wa facebook,kumbuka kulike na kushare page husika ,kupitia hapa>PICHA 200 MAZISHI YA MA ANGELA KAFULAKAZI 
 Hapa ndipo alipopumzishwa kwenye nyumba yake ya mileleMarehemu Ma Angela Kafulakazi
 Timu nzima ya Bukobawadau tunatoa pole sana kwa watoto wa Marehemu kuondokewa na mama mzazi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau