Bukobawadau

SHUGHULI YA NDOA YA BW.BASHIR KABYEMELA (BADAE) NA BI RUKIA NADHIR RAJAB YAFANA !!

NAAAM ni Ijumaa nyingine Feb 13,2015 Bwana Bashir Kabyemela na Bi Rukia Nadhir Rajabu  wanamshukuru Mungu ambaye leo amewawezesha kufunga ndoa yao hakika mambo yalikuwa byee katika tukio zima la ndoa hiyo iliyofungwa na Sheikh wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta iliyoambatana na mnuso wa nguvu
Aisee hii ni moja ya swagar iliyotugusa kutoka kwa Mr & Mrs Bashir Kabyemela
 Katika pozi la kwanza kabisa marabaada ya kufika Nyumbani
Bi harusi Rukia Bashir katika pozi moja Manta'shallah
 Pichani ni Bi Asia Abdul
Mwanzo wa shughuli hii ikiwa ni majira ya saa 11 mara baada ya swala ya(Alasiri), msafara wa Bwana harusi ukiwa tayari kuelekea mtaa wa pili kwa ajili ya shughuli ya maali na ndoa
 Picha ya kumbukumbu sehemu ya makutana  mbele ya msikiti wa Bilele Mjini Bukoba
 Ndugu na Marafiki wa karibu wa Bwana harusi muda mchache kabla ya kuanza Safari yao
Taswira mbalimbali maeneo ya mtaa wa Twiga/Uswahili Bilele
 Dada wa Bwana Bashir Kabyela  kama anavyo onekana katika picha
Katika hili na lile anaonekana Ndg Hamis  pichani
 Bwana Bashiru akiwa naDada zake  katika utayari wa tukio la kutoa maali.
 Ndugu wa familia ya Bwana Harusi wakiwa na Sanduku lenye zawadi maalum za Bi harusi
 Kuelekea eneo la tukio Mtaa wa Twiga Bilele ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Mdau Gsmart George pichani kulia akipiga stori  na wadau juu ya  matukio ya hapa na pale
 Anaingia Sheikh Haruna Kichwabuta Sheikh wa Mkoa wa Kagera.
 Sheikh anasalimiana na  Mzee Kabyemela
 Yunusu Kambuka , Bwana Bashir, Ndugu Hafidh na Kijana Sadru  katika picha ya pamoja
 Upande wa wenyeji 
Sehemu ya wadau wakiwa harusini
Wageni kutoka upande wa Bwana harusi.
 Mrs Yunusu Kabyemela
Bi Latifa A.Kichwabuta.
 Mzee Kabyemela anasalimiana na Sheikh Haruna Kichwabuta
 Mzee Ismail akiwa ameambatana na Upande wa Bwana Harusi
 Haji Adam Sued Kagasheki akimpokea kwa bashasha kubwa Haji Abbakari Galiatano
 Kabla ya kuelekea ndani ,anajiunga Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akiwa amejitanda ushungi
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta  na Wifi yake Bi Asia Abdul wakiteta jambo
Mzazi wa Bwana Harusi anasimama kueleza lengo la uwepo wao katika familia ya pili.
 Shughuli ya ndoa inafungishwa na Sheikh Haruna Kichwabuta
Utaratibu wa Nikaah ukiendelea
 Wakati Bwana Bashir na Sheikh wakiwawameonozana na  kwa Walii wa mke na Qabuul wakisubiria  (itikio la kukubali) kutoka kwa Bibi harusi wetu Bi Rukia Nadhir
  Na sasa ikawa zamu ya ... Bibi harusi akiangusha sahihi kwenye cheti cha ndoa
Bwana harusi akisaini cheti cha ndoa yake
Bwana harusi anapongezana na Mzazi wa Bi harusi Al haji Abuba Sued .
 Furaha ikitawala.
Yupo mdau Optaty Henry na Bwana Haruna Goronga
 Bwana Bashir na Kitonsa wake katika The pozi.
 Bi Maua Ramadhani na Mama Rubby pichani
Kama inavyo jionyesha katika picha Bwana Harusi alikunywa maziwa kisha akamnywesha mkewe, mara nyingi kwenye ndoa za Kiislam tukio hili linachukua kasi..!
 Hii tumeiona mara nyingi kwenye ndoa za Kiislam hatujui ni kutoka katika hadidhi au ni mambo ya kimila wadau tujuzeni juu ya tukio hili.
Naaam Sheikh Bashie 'Ebintu Majuta'
Masha'allah wamependeza Mr. na Mrs Bashir Kabyemela
Hongera sana Bwana Bashir na mkeo Bi Rukia (Rukihya)
 Kushoto ni Bwana Hafidh Karugula (Nkurukumbi) swahiba wa Bwana Bashir Kabyemela.


 Upande wa pili mambo ya ma
 Wifi zake Bi Harusi ndo haoooo na huu ni mwanzo picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Dada wa Bwana harusi wakiendeleza furaha ya kumpata wifi yao Bi Rukia Nadhir
Shughuli imepamba moto, kila mdau anapata picha kwa ajili ya Bukobawadau hii nayo ni Changamoto!
Mama Kajali katika furaha na maharusi
Kama kawaida sehemu ya Wadau  wakitathimini
 Bwana Yunusu katika kuhakikisha hakilibiki kitu
Mnuso time.
Hekaheka za hapa na pale wakati wa  Shughuli ya Ndoa.
 Hivi ndivyo mambo yalivyo upande wa kina mama.
 Bi Jamila Kikwemu na wifi yake
Bwana Yunusu Kabyemela kaka mdogo wa Bwana Harusi akipata .
Sheikh Haruna Kichwabuta  na Al haji Abbakari Galiatano.
  Aliamin Idrisa anampongeza bwana Bashir  kwa kukamilisha ndoa yake
 Kufikia hapa BUKOAWADAU BLOG inawatakia maisha mema yenye Upendo na Amani.
 Mdau Abdulrazak katika picha na cousin Sis.
Hamsha hamsha nyumbani kwa Bwana Bashir Badae
Mwanzo mwisho ndugu na marafiki wa familia na Wasindikizaji wa Bibi Harusi
Katika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa kabla ya kuingia ndani
Hakika ni shangwe nyumbani kwa Bwana Bashir Kabyemela
 Mama kama anavyo onekana pichani
 Hashim Kamgunda na Sheikh Haruna Kichwabuta  wakibadilishana mawazo nyumbani kwa Bwana Bashir (badae)Kabyemela
 Kama unavyomuona hapo Mama Farida  akipata juisi ya ukwaju.


Taswira   mbalimbali
Matukio ya picha mbalimbali Nyumbani kwa Bwana Bashir Kabyemela 
 Mtu na wifi yake katika picha ya kumbukumbu
Rukia wa Bashir  katika pozi la nguvu
Baada ya mambo yote sasa wanajiachia kama mke na mmea
Hii ni kwa wale wanaopenda kuongea  mambo mengi juu ya watu wengine
Katika kitu kinaitwa pozi hakika Bi Rukia  anatosha!
 Mwingi wa furaha baada ya kuyafikisha mambo hapa tulipo ni Bwana Hafidhu 'Nkurukumbi yeye nduye  shahidi na best man wa bwana Bashir Kabyemela

 Tukio wakati bwana Hafidhu akisaini cheti cha ndoa kama shahidi
 Sehemu ya picha za matukio mbalimbali
Wanafamilia wakipata ukodak na Bi Rukia
Tips wakati Mzee aki akihimiza jambo muda mchache kabla ya shughuli ya ndoa
Mwamama akifurahi jambo katika harusi hiyo
  Kwa matukio zaidi ya picha 350 tembelea ukurasa wetu wa Facebook kupitia link link>> hiiBukobawadau Entertainment Media
MWISHO Timu nzima ya Bukobawadau inawatakia maisha mema na marefu wanandoa hawa!Next Post Previous Post
Bukobawadau