Bukobawadau

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE FRANCES KABAKAMA - FEB 9,2015 KIJIJINI BUGABO-KIGATI

Mamia ya watu washiriki mazishi ya Marehemu Mzee Frances Kabakama yalioyofanyika jioni ya leo Feb 9,2015 nyumbani kwake Kijijini Kigati-Bugambo umbali wa kilomita 45 nje ya Mji wa Bukoba. 
 Mjane wa Marehemu pichani katikati na waumini wa Katoliki wakifuatilia ibada ya mazishi
 Wanakwaya katika Ibada ya Mazishi ya Marehemu Mzee Frances Kabakama iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kigati -Bugabo
 Bibi akiwa na mwanae ambaye ni Mjane wa Marehemu Mzee Frances Kabakama.
Ibada ikiendelea
Bukobawadau tukiwakilisha vyema kutoka maeneo ya Bugabo shughuli ya Mazishi ya Marehemu Mzee Frances Kabakama
Kwa mbali pembeni  shambani kundi la wanamama  wakati shughuli ya mazishi ikiendelea.
 Mzee Kazinja na Haji Abdul Sued wakati Ibada ya Mazishi ikiendelea
 Kushoto ni Mama mzaa Chema , Mama mzazi wa Mrs Adv James  (Bi Doreen) pichani katikati
 Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Mzee Frances Kabakama
 Camera yetu inazoom na kumuona 'Mgulusi'
 Wadau wakimfariji Mzee Kagenda pichani katikati kufuatia kifo cha Baba Mkwe wake
 Kutoka Wilaya Karagwe anaitwa Khalim Amri Hamir (kushoto) ni Mjumbe wa NEC akiwa na Al Amin katikas hughuli ya maziko haya jioni ya leo Feb 9,2015
Waombolezaji pichani , katikati anaonekana Mama Rubby
 Ndugu Prosper mmoja wa watoto wa Marehemu Mzee Frances Kabakama akitoa heshima za mwisho.
 Mzee Said Kombora mara baada baada ya kutoa heshima  zake za  mwisho wisho kwa mwili wa Baba Mkwe wake Marehemu Mzee Frances Kabakama
 Mh.Diwani wa Buhembe, Alexander Ngalinda ambaye pia Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba mara baada ya kutoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Marehemu Mzee Frances Kabakama.
 Adv James Kabakama katika majonzi makubwa wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Baba yake mzazi Marehemu Mzee Frances Kabakama.
 Mdau Geofrey wa Container village  Bukoba mara baada ya kutoa heshima zake za mwisho
 Sehemu ya watoto pichani wakiwa katika sintofahamu kufuatia msiba huu.
Waombolezaji wakipita mbele ya jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Frances Kabakama.
Simanzi, majonzi na kila aina ya huzuni vikitawala
 Kutoka Jijijini Dar es Salaam pichani ni Mr John Lugemalila akitoa sadaka yake.
 Uncle Taimur Manyilizu katika utaratibu mzima wa kutoa heshima za mwisho.

Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea....
Kwakweli apumzike kwa amani Mzee wetu
Wanaonekana waombolezaji katika nyuso za huzuni wakati wakutoa heshima za mwisho
 Wananchi kutoka Vijiji vya Ibossa ndani ya Kata ya Nyakato, Butainamwa ,Rubafu  hadi Uganda  eneo lilipo Tarafa Bugaba wameweza kuhudhuria Shughuli ya Mazishi haya jioni ya leo Feb 9,2015
Wadau mbalimbali kutoka mjini Bukoba wakishiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho
 Bi Doreen (Mrs Adv Kabakama)  katika zoezi la utoaji heshima za mwisho.
 Baadhi ya waombolezaji kutoka Mjini Bukoba wakifika kushiriki katika msiba huu mkubwa wa marehemu Mzee Frances Kabakaba
 Ndugu Revo mtoto wa Marehemu Mzee Frances Kabakama akiwa katika majonzi makubwa wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwisho.
 Sehemu ya Waombolezaji katika msiba huu pichani kutoka kushoto anaonekana Haji Mrishid, Mzee Yakubu, Mzee Kazinja, Haji Kamungunda, yupo Mzee Said, Abdulrasul Bwanika na Haji Sadick.
 Mr. Piddy na Mr Cathbert Basibila sehemu ya waombolezaji
 Haji Nurag,Mwl.Bilikezi na Ndg Khalid wakiwa wamefika kushiriki shughuli hii ya mazishi.
 Taswira mbalimbali eneo la tukio Ibada ikiendelea
Muonekano wa Heneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Frances Kabakama
Wadau wakiendelea kufika kuwafariji wafiwa.
 Mamaa Jane Mkurugenzi wa MTK
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likifungwa vizuri kabla ya kuelekea enea la Makaburi
Safari ya mwisho ya Marehemu Mzee Frances Kabakama
Eneo la kaburini Padre akiongoza ibada ya mazishi
Wanafamilia na waombolezaji wakiwa tayari kuzika
Umati  mkubwa wa watu eneola kaburi
 Jeneza likiingizwa kaburini
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Frances  likiwa limefungwa kamba na kushushwa kaburini.
 Padre akiongozi shughuli ya mazishi
 Tayari jeneza lipo kaburini, EEee Mungu Mwanga wa milelemuangazie mzee Wetu..!
 Mdau akiweka Udongo kaburini
 Watoto wa Marehemu wakiweka Udongo Kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
 Sehemu ya Wanafamilia katika utaratibu wa kuweka mashada ya maua kaburini
 Wadau mbalimbali wakiweka mashada yao  katika kaburi
 Wanafamilia wa Marehemu kwa pamoja wakiweka mashada ya maua.
 Mama Mjane wa Marehemu akiweka mshumaa kaburini
Katika hili na lile Waombolezaji wakiwa msiba hapo mara baada  ya Shughuli ya mazishi
Mzee Jacob Kilyanga Kabahijo
Wafiwa wakipelekwa  ndani kwa nyimbo za mabambio mara baada yashughuli ya mazishi.
Sehemu ya Watoto wa Marehemu Mzee Frances Kabakama, kutoka kushoto ni Mh.Robart Katunzi (Tabu gani)Diwani kata ya (Hamugembe).
 Ni huuzuni nzito kwa Adv. James Kabakama kuondokewa na Baba Mzazi kama anavyo onekana mbele ya kaburi  akichukua picha ya kumbukumbu
Kutoka kushoto ni Mr Michael Mongi ,Robart Kasebene, Bi Doreen na Mr John Lugemalila  wao ni marafiki na majirani wa familia ya Adv. James Kabakama wakiwa wametoka Jijini Dar es Salaam  kushiriki msiba huu.
 Hakika kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na wivu mzuri ni ule wa kuiga mazuri nawe ukafanya,Salute kwenu wazee kwa niaba ya Kaka yetu Adv James tunasema;....'barikiwa sana na Mungu aliye hai....'.
 Naaam ndivyo anavyo onekana Mzee pichani  akimfariji Adv James Kabakama
Watu mbalimbali wakiwa wanapata chakula cha mchana hii ni kabla ya kuaga mwili.
Usisite kutembelea ukurasa wetu wa facebook kwa matukio ya picha zaidi
 Waombolezaji wakipata huduma safi ya chakula 
 Kautaratibu ka Wadau  kufanya tathmini ..
 Wapambanaji Shaffih na Bushira baada ya Mazishi kukamilika imekamilisha wakifanya tathmini
 Mama Ashura pichani kushoto
 Mc Muongozaji washughuli hii akitoa Wasifu wa Marehemu Mzee Frances Kabakama
 Kijana Bushira katika hili na lile
 Hapa na pale Camera yetu msibani ikiangazia sehemu ya Waombolezaji
 Mizunguko ya waombolezaji msibani hapa wakiwapa pole wafiwa
 Uncle Taimur na Haji Mgunda  katika tathmni mara baada ya shughuli ya mazishi
  MUHIMU pata picha  zaidi ya 200  katika Ukurasa wetu wa facebook,kumbuka kulike na kushare page husika ,kupitia hapa>
Asanteni kwenu Ndugu , hawa jamaa pichani ni waungwana sana ni kwetu sisi ni  Kiungo muhimu!!
 HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA SAFARI YA MWISHO YA MAISHA YA MAREHEMU MZEE FRANCES KABAKAMA BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE, APUMZIKE KWA AMANI  MZEE WETU , AMEN!!Next Post Previous Post
Bukobawadau