Bukobawadau

AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA 42 WAPOTEZA MAISHA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa AMINA MASENZA amethibitisha Kuwa takribani watu 42 wamepoteza maisha na 23 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo katika eneo la Changalawe mafinga mkoani humo
Foleni ya magari katika eneo la Changarawe baada ya ajali hiyo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas Abri (kulia) akiwa na viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.
 Miongoni mwa manusura 22 wa ajali ya basi la Majinja lenye namba za usajili T438 CED wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 wamepoteza maisha katika ajali hiyo.
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  (wa  pili kulia) akiwa na Kamanda  wa Polisi mkoa wa Iringa  Ramadhan Mungi ,Mwenyekiti wa kamati ya  Usalama Barabarani mkoa wa Iringa  Salim Asas Abri (wapili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya  Mufindi, Mboni Mhita eneo la ajali
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau