Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA ASASI YA WERELD MISSIE HULP YA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Asasi ya Wereld Missie Hulp ya Ubeligiji Bwana Wim Smit (wa pili kutoka kushoto). Wa kwanza kulia ni Bi. Ilona Coster Meneja wa Miradi wa asasi hiyo na wa pili kutoka kulia ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji. Balozi Kamala amekutana na Uongozi wa Asasi ya Wereld Missie Hulp jijini Antwerpen Ubeligiji leo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau