Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI WA KAMPUNI Y A LOTUS

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni Lotus Bwana Matthieu Boone. Balozi Kamala ametembelea Kampuni hiyo Lembeke Ubeligiji leo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau