Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MARCH 26,2015

 Camera yetu mapema ya leo Jumatano March 26,2015 ikiangaza maeneo mbalimbali Mjini Bukoba.
Maeneo ya Viwanja vya Ghymkhana, Bukoba Club tunakutana Uso kwa uso na Mdau Rutta akiwa amechill  na mwenzake ikiwa ni sehemu ya utaratibu mara baada ya muda wa kazi
 Binamu yangu Ibrahim Bukenya akiwa Mitaa ya kati Mjini hapa.
Kutoka pande za Minden nchini Ujerumani pichani ni Mdau Sady Amran akiwa karejea nyumbani kwa ajili ya likizo yake.
 Mdau Sady Amram anakutana na swahiba wake Ndugu Abdulrazak Byabuta 'Owaibanga',kwa nyuma anaonekana Ndugu Waziri ,yeye ni Mh. diwani kata ya Ibwera (CCM)
Mbele ya ofisi za Bukoba Compyuta kwa Bwana Yusuph Songoro pichani katikati  maarufu kwa uuzaji na Utaalam wa kompyuta pamoja na suluhu za kiufundi.
 Katikati ya viunga vya mji wa Bukoba
 Ndani ya Duka la Afzal ,pichani ni Mkurugenzi Mr. Rafik Remdin.
Ndani ya Mghahawa wa E.L.C.T tea room , uliopo katika Jengo la Ujirani mwema
 Muonekano wa Viwanja vya Gymkhana mjini hapa maarufu kama Viwanja vya Bukoba Club
 Pichani ni Ndugu Hamis kama alivyokutwa na Camera yetu maeneo haya.
 Mdau Greysin (Ruge) akipata upepo mwanana katika Viwanja tulivu vya Bukoba Club
 Ndugu Dickson Mutta.
 Kutoka maeneo ya Kagoma Wilayani Muleba, tunakutana na mzee maarufu katika ukanda huo, pichani ni Mzee Gaudin Sebastian akipata mulo wake hapo Bukoba Club
Jengo la Bukoba Club.
 Usawa wa Bukoba Club muonekano wa kisiwa cha Musila.
Mzee  Gaudian  Sebastian na akiwa na kijana wake Ndugu Dickson Mutta .
 Mitaa ya Kashai Jioni ya leo Jumatano March 26,2015
 Zaire Cafe iliyopo Kashai Center.
 Hekaheka za hapa na pale mitaa ya Kashai,eneo lenye wakazi wengi Mjini Bukoba
 Taswira barabara ya Kashai kuelekea Sokoni
 Jengo la shule ya sekondari ya Kahororo, shule ya historia iliyokamilika yenye nyumba za walimu.
Kahororo sekondari ni shule yenye viwanja vya michezo,mabweni ya kutosha,nyumba ya Mkuu wa Shule, Nyumba ya mlezi,Mashamba na bwalo la mkutano  au Chakula.
 Mawe ya vilima vya Kahororo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba
 Muonekano wa Kisiwa cha Musila ,usawa wa Kahororo ,kisiwa hiki ni moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wetu wa Kagera unapatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania
 Wa mbele ni Mwalimu Abdulrafih wa Shule ya Kiislam ya Kudus akiwa ameongozana na Uncle Isaak Bukenya ambaye ni mmoja  wa wazazi wenye wanafazunzi wanaofaidika Elimu inatolewa shuleni hapo.
 Ndugu Majid na watoto wa jamaa zake pichani aliofika kuwaona katika Shule ya msingi ya Kiislam ya Kudus iliyopo katika Manispaa ya Mji wa Bukoba

Matron wa shule ya msingi ya Kudus akiwa na Mwanafunzi wake Binti Amina I. Abdallah.
 Majengo ya Shule ya Sekondari ya Kahororo

Next Post Previous Post
Bukobawadau