Bukobawadau

NDEGE YA TURKISH AIR ILIVYONUSURIKA

Tukio la muda mchache Ndege ya shirika la Turkish Airline ikiwa imeshindwa kutua vizuri katika Uwanja wa Kathmandu,Napal kutokana na hali mbaya ya hewa yenye ukungu
 Hivi ndivyo watu walivyonusurika ndani ya Flight TK726 iliyokuwa ikitokea nchini India kuelekea Nepal muda mchache uliopita
Next Post Previous Post
Bukobawadau