Bukobawadau

BALOZI KAMALA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali baada ya Ufunguzi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Ubeligiji.
 Balozi Kamala anaongoza ujumbe wa Wafanyabishara zaidi ya hamsini kutoka Tanzania na maofisa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wanaoshiriki katika Kongamano hilo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau