Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA MISTRA HOME SHOPPING YA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala Pichani (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mistra Home Shopping ya Ubeligiji. Balozi Kamala ameikaribisha kampuni hiyo kuwekeza za Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau