Bukobawadau

WIMBO MPYA WA KIHAYA EKIGAMBO BY DATPichani ni Msanii DAT anayefanya vyema kunako gemu la muziki wa Asili na muziki Bongo.
Msanii DAT amekuja na staili ya muziki inayoitwa “Taula Style” kupitia dhima ya kazi yake ya sanaa inayoitwa “Taula Tamaduni” ambapo anamaanisha kubadilishana utamaduni. Msanii huyo anayetokea Mkoani Kagera anatambulisha wimbo wake unaoitwa “EKIGAMBO” kama unavyosikika na kuonekana katika Video hii HAPA CHINI
Fanya kusikiliza na kudownload Nyimbo hiyo katika'Audio'kutoka kwa Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Muziki wa Asili.
Next Post Previous Post
Bukobawadau