Bukobawadau

HABARI KUTOKA ITV

HABARI ITV:Hali ya taharuki imewapata wakazi wa kijiji cha Park Nyigoti kata ya ikoma wilaya ya Serengeti baada ya mahakama kutoa ruhusa ya kufukuliwa kwa mwili wa Bi. Celina Jumapili aliyefariki dunia na kuzikwa tarehe tatu marchi kisha kuonekana utata katika kaburi lake ambalo leo limefukuliwa na kukuta sehemu ya viungovya mwili wake vimekatwa vikiwemo kiganja cha mguu vidole vya mkono wa kushoto na sehemu za siri zikiwa zimenyofolewa hali iliyozua mashaka makubwa kwa wakazi wa kijiji hicho
Next Post Previous Post
Bukobawadau