Picha ya mtuhumiwa anaye semekana kuwa Mtanzania
Taarifa iliyopo inasemaa kuna
Mtanzania mmoja kati ya washukiwa wanne waliokamatwa wakiwa hai kwa
kukishambulia Chuo kimoja kikuu nchini Kenya na kuwaua watu 147 wengi
wao wakiwa wanafunzi ! CHANZA:BBC WORLD NEWS
0 comment:
Post a Comment