Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za kampeni,
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa
chama na viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CHADEMA kwa Kanda
ya Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa) ikiwa
ni sehemu ya maandalizi ya chama kwenda kushinda dola na kuongoza
serikali katika uchaguzi mkuu ujao.
Programu ya mafunzo kukiandaa chama kushinda Dola kwa Kanda
ya Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment