Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella anawaalika wanakagera na wadau wote wa maendeleo kuhudhuria kikao cha Wanakagera kitakacho fanyika siku ya Ijumaa tarehe 24/04/2015 katika ukumbi wa Chichi Hotel iliyopo Kinondoni (Biafra) jijini Dar es Salaam.
Kikao kitaanza saa 1:00 jioni.
Nyote mnakaribishwa kushiriki naye katika kujadili na kutathmini maendeleo ya mkoa wa Kagera
0 comment:
Post a Comment